Mfumo wa Mauzo ya Bidhaa kwa Simu au Computer

Namna ya Kusajili bidhaa na Muuzaji wa Bidhaa

Namna ya Kuona mapato na matumizi
:
Mfumo huu kwa mwanzo unafanya kazi kwa kuchukulia yafuatayo
01 - Bidhaa zote zitasajiliwa katika Mfumo
(a) - Usajili unaweza kufanywa na Mkaguzi mkuu (admin) au muuzaji (cashier)
(b)- Bidhaa iliyosajiliwa itafanyiwa marekebisho na Mkaguzi (Admin) peke yake vinginevyo itakuwa inabadilika idadi kulingana na inavyouzwa au kuongezwa na Mkaguzi Mkuu wa mfumo

02 - Baada ya usajili wa Bidhaa zote hatua inayofuata ni kuanza au kuendeleza mauzo ya bidhaa hizo zilizosajiliwa

03 - Mwisho baada ya mauzo Muuzaji au cashier anaweza kuona mauzo yake kwa siku nzima

Kujiunga na Mfumo bofya Hapa sasa