-
Mifumo ya mashuleni
Tunatengeneza Mifumo rahisi kutumia katika utoaji wa ripoti za wanafunzi za kitaaluma pamoja na kufanya tahtmini (Evaluation) katika mitihani mbalimbali pamoja na mifumo mingine ya kufanya tathmini ya sehemu iliyofundishwa (Content Coverage Revision) Kwa shule za Sekondari(O-Level) kwa ajili ya maandalizi ya mitihani ya kidato cha nne. -
Urahisi wa Mifumo yetu
Mifumo yote ambayo inatumika kwanza inatumia lugha yoyote rafiki kwa mtumiaji Kiswahili au Kingereza pia kuendana na hatua ambazo watumiaji wengi huzipitia hivyo kurahishisha katika utumiaji wa Muda pamoja na kuondoa uwezekano wa kuchoka wakati unatumia mifumo yetu.
-
Unaweza Kutumia Simu
Mifumo yote ambayo inatumika katika mtandao simu hutumika katika kuangalia, bidhaa stoo, caunta na sehemu nyinginezo ambapo utaweza kuona kila kinachofanyika katika Mfumo wako hata ukiwa mbali (mikoani au Nchi za nje) Hivyo simu ni kifaa muhimu katika utumiaji wa mifumo yetu ya kwenye internet isipokua mifumo inayotumia excel peke yake. -
Kufanya kazi Mtandaoni
Kinyume na mifumo mingi Mifumo yetu inampa Mteja maamuzi ya kuchagua atumie Mfumo sehemu za ofisi zake tu au atumie hata nje ya ofisi kwa mfano anapokuwa kwenye Internet sehemu yoyote duniani anaweza kuone katika mfumo wake ni faida kiasi gani amepata kwa siku na mzigo uliobaki stoo na hata mauzo kwa siku kama atahitaji kuona yote yanawezekana.