OFA MPYA : Jisajili kwenye Mifumo yetu ya Kutengeneza ripoti za wanafunzi za kitaaluma kwa kubofya sehemu iliyoandikwa Ripoti za wanafunzi Form (I - VI)
Published On : 24-05-2021

MIFUMO YA KUTUMIA MASHULENI
Kutokana na changamoto ambazo hujitokeza katika uendeshaji wa shule kama vile kuangalia ufundishaji, Matumizi ya fedha na Matumizi ya rasilimali watu na vitu ipo mifumo mingi inayotumika

Bofya hapa Kuziona

RIPOTI ZA KITAALUMA (FORM I - VI)
Ripoti za Kitaaluma za O- Level na A-Level zinapatikana hapa bure kabisa na zikiwa na mikeka yote inayohitajika kwa ajili ya kufanyia evaluation kutokana na Grades pamoja na division/madaraja.

Bofya hapa Kujisajili

RIPOTI ZA KITAALUMA PRE & PRIMARY
Mfumo wa ripoti za Pre na Primary school upo tofauti na ile ya Sekondari kwa ujumla kutokana na utofauti wa Grades pamoja na utofauti wa upimaji unaotakiwa na shule zote

Bofya hapa Kuanza

KUSANYA MAUZO KWA SIMU
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa

Bofya Kujua zaidi

KUSANYA MAUZO KWA COMPUTA
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa.

Bofya Kujua zaidi

AGIZA NASI VIFAA VYA CCTV CAMERA
Tunatoa huduma ya kutoa vifaa vya CCTV camera kwa bei ya moja kwa moja yenye discount na uhakika wa kutosha, Mahitaji yako yote yatafanyika hapa kwa kuyaandika na utaletewa mzigo wako kutokana na Specification utakazojaza. Kwa maulizo msg tu kwa 0623 299 076.

Bofya Kujua zaidi
 • Mifumo ya mashuleni

  Tunatengeneza Mifumo rahisi kutumia katika utoaji wa ripoti za wanafunzi za kitaaluma pamoja na kufanya tahtmini (Evaluation) katika mitihani mbalimbali pamoja na mifumo mingine ya kufanya tathmini ya sehemu iliyofundishwa (Content Coverage Revision) Kwa shule za Sekondari(O-Level) kwa ajili ya maandalizi ya mitihani ya kidato cha nne.
 • Urahisi wa Mifumo yetu

  Mifumo yote ambayo inatumika kwanza inatumia lugha yoyote rafiki kwa mtumiaji Kiswahili au Kingereza pia kuendana na hatua ambazo watumiaji wengi huzipitia hivyo kurahishisha katika utumiaji wa Muda pamoja na kuondoa uwezekano wa kuchoka wakati unatumia mifumo yetu.
 • Unaweza Kutumia Simu

  Mifumo yote ambayo inatumika katika mtandao simu hutumika katika kuangalia, bidhaa stoo, caunta na sehemu nyinginezo ambapo utaweza kuona kila kinachofanyika katika Mfumo wako hata ukiwa mbali (mikoani au Nchi za nje) Hivyo simu ni kifaa muhimu katika utumiaji wa mifumo yetu ya kwenye internet isipokua mifumo inayotumia excel peke yake.
 • Kufanya kazi Mtandaoni

  Kinyume na mifumo mingi Mifumo yetu inampa Mteja maamuzi ya kuchagua atumie Mfumo sehemu za ofisi zake tu au atumie hata nje ya ofisi kwa mfano anapokuwa kwenye Internet sehemu yoyote duniani anaweza kuone katika mfumo wake ni faida kiasi gani amepata kwa siku na mzigo uliobaki stoo na hata mauzo kwa siku kama atahitaji kuona yote yanawezekana.