Mfumo UNAVYOFANYA KAZI

Muundo wa Mfumo :
Mfumo huu kwa mwanzo unafanya kazi kwa kuchukulia yafuatayo
01 - Mwanafunzi anapoluwa shule atafanya mitihani yake ya kupimwa katika namna tatu, ambayo ni kama ifuatavyo :
(a) - Mtihani au mitihani ya kipimo cha muda mfupi Ambapo katika mfumo tumeipa jina la monthly exams
(b)- Mitihani ya muda mrefu ambayo hupelekea likizo kwa mwanafunzi kama Midterm, Terminal na mingineyo

02 - Baada ya manafuzi kufanya mitihani hii Kila mtihani utaweza kuona na kuprint Scoresheet zake zote na kufanya Evaluation/Tahmini ili kuona ufaulu wa masomo yate

03 - Ripoti ya mwisho ya mwanafunzi itakua na CA ambayo ni 40% ya mitihani na muda mfupi (Monthly Exams) na asilimia sitini 60% kwa mitihani ya mwisho wa term au midterm, maana ripoti zinatolewa kwenye kila term au nusu term hivyo kutowa ripoti mara nne kwa mwaka.